Swahili Times

Swahili Times

785.4K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
June 13, 2025 at 08:11 AM
Tume ya Ulaya imetangaza sasisho jipya la orodha ya nchi za tatu (zilizo nje ya Umoja wa Ulaya) zinazochukuliwa kuwa na hatari kubwa kutokana na mapungufu ya kimkakati katika mifumo yao ya kupambana na utakatishaji wa fedha na ufadhili wa ugaidi (AML/CFT). Wakati huohuo, baadhi ya nchi zimeondolewa kwenye orodha hiyo, ambazo ni: Barbados, Gibraltar, Jamaica, Panama, Ufilipino, Senegal, Uganda, na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Image from Swahili Times: Tume ya Ulaya imetangaza sasisho jipya la orodha ya nchi za tatu (zili...
👍 😢 😂 ❤️ 😮 22

Comments