
Swahili Times
June 13, 2025 at 02:16 PM
Polisi nchini India wamesema mwanaume aliyenusurika kwenye ajali ya ndege, Vishwash Ramesh alikuwa ameketi siti namba 11A, ambayo iko karibu na mlango wa dharura, na alifanikiwa kujiokoa kwa kuruka kupitia mlango huo.
Akizungumza kutoka hospitalini, Ramesh amesema bado haamini kuwa amenusurika.

🙏
❤️
👍
😢
26