
Swahili Times
June 13, 2025 at 03:14 PM
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo wa Simba na Yanga uliopangwa kufanyika Juni 15, 2025 Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Mchezo huo umepangwa kufanyika Juni 25, 2025 Uwaja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni.

😂
👍
❤️
😮
🙏
😢
105