Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
May 23, 2025 at 08:35 AM
Taasisi zote nchini zimeshauriwa kuhakikisha Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (DPO’s) wanapatiwa mafunzo ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yanayotarajiwa kuanza kufanyika Juni mwaka huu. Hayo yameelezwa leo Machi 22, 2025. Jijini Dodoma na Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) – Mhandisi Stephen Wangwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo amesema mafunzo hayo yatawasaidia DPO’s kutekeleza Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Sura ya 44 kwa Ukamilifu. #faraghayakoniwajibuwetu #lindataarifabinafsitz #pdpctz #pdpcznz
👍 ❤️ 😢 🙏 5

Comments