Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
June 11, 2025 at 08:05 AM
๐๐€๐ƒ๐Ž ๐’๐ˆ๐Š๐” ๐Ÿ๐Ÿ Jisajili Kushiriki Mafunzo ya Kupunguza Madhara ya Vihatarishi katika Ulinzi wa Taarifa Binafsi (Mitigating Data Risks: Integrating Risk Management with Personal Data Protection Compliance). ๐Ÿ“… Tarehe: 23 - 25 Juni, 2025 ๐Ÿ“ Mahali: Hoteli ya LUSH GARDEN, Sakina - Arusha ๐Ÿ’ต Ada: TZS 750,000 kwa mshiriki Mafunzo haya yataongeza uelewa na ujuzi wa namna bora ya kulinda taarifa binafsi kwa kuzingatia usimamizi wa vihatarishi na utekelezaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Sura ya 44, Kanuni zake pamoja na Miongozo ya PDPC. Scan QR Code kujisajili sasa, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia simu namba ๐Ÿ“ž +255 715 680 150 Na kwa barua pepe zifuatazo: ๐Ÿ“ง [email protected]; [email protected]; [email protected] #lindataarifabinafsitz #faraghayakoniwajibuwetu #pdpctz #pdpcznz
Image from Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC): ๐๐€๐ƒ๐Ž ๐’๐ˆ๐Š๐” ๐Ÿ๐Ÿ Jisajili Kushiriki Mafunzo ya Kupunguza Madhara...

Comments