
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
June 13, 2025 at 05:38 AM
ππππ ππππ ππ
Jisajili Kushiriki Mafunzo ya Kupunguza Madhara ya Vihatarishi katika Ulinzi wa Taarifa Binafsi (Mitigating Data Risks: Integrating Risk Management with Personal Data Protection Compliance).
π
Tarehe: 23 - 25 Juni, 2025
π Mahali: Hoteli ya LUSH GARDEN, Sakina - Arusha
π΅ Ada: TZS 750,000 kwa mshiriki
Mafunzo haya yataongeza uelewa na ujuzi wa namna bora ya kulinda taarifa binafsi kwa kuzingatia usimamizi wa vihatarishi na utekelezaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Sura ya 44, Kanuni zake pamoja na Miongozo ya PDPC.
Scan QR Code kujisajili sasa, kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia simu namba
π +255 715 680 150 /+255695507751 /+255718462536
Na kwa barua pepe zifuatazo:
π§ [email protected]; [email protected]; [email protected]
#lindataarifabinafsitz
#faraghayakoniwajibuwetu
#pdpctz
#pdpcznz
