
WATANI WA JADI
June 12, 2025 at 08:43 AM
Utopolo alikuwa na ball possesion 88 na alikuwa anaongoza 1 ghafla CRDB akaingilia mechi na kuwafanya utopolo kupata magoli 2 ya haraka na wakawa wanaongoza 3 ila ghafla TFF nao wamefanya bonge la comeback
Dakika ya 70 TFF 5 utopolo 3
Ninavyowajua mimi hawa ndugu zetu walivyokuwa hawawezi kuwa wavumilivu basi tutegemee TAARIFA YA UMMA muda wowote kuanzia sasa 😂😂😂😂
