
WATANI WA JADI
June 14, 2025 at 04:47 AM
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA
HUKO KWENU
Awamu hii mnatoka vipi?
🤣🤣🤣🤣
‼️ KWA HESHIMA ‼️
Kuna kajiupendeleo flani ambacho sio Sawa kiukweli
Kipindi kile utopolo wanaingia fainali ya kombe la shirikisho walipopewa medali walipewa heshima ya kukaribishwa ikulu na kupewa pongezi kwa walichokifanya ila imekuwa tofauti kwa SIMBA yetu tumetelekezwa kama watoto yatima💔💔💔
Na hata Leo nilipoona zile sura za viongozi wetu baada ya kutoka kuonana na mama nilihisi tu kuna vitu haviko sawa kabisa , kuna nyakati mtu anaweza kushinikizwa akubali maamuzi ambayo hajaridhika nayo kwa kuheshimu mamlaka ila hii sio sawa
Kanuni gani imetumika kuvunja mechi ya tarehe 15 ??? Kama akuna sababu ya wenzetu ilivunjwa na wenzetu wakaja na masharti na yote yanaenda kutekelezwa ndo maana wamekubali kucheza vipi kuhusu sisi ????
Viongozi wetu mukikubali kucheza mechi ya tarehe 25 kumbukeni kuna kupoteza pia itakuwa ngumu mnooo watu kukueleweni,
Huu unyonge hapana kiukweli lazima vitu vingine tuvipinge kwa maslahi ya SIMBA yet sio kila kitu ndio mzee alafu sisi tunaumia.
.. ✍🏽 Ommy Simba Sauti Ya Msimbazi ✅