🧣THE REAL VOICE🧣
🧣THE REAL VOICE🧣
May 19, 2025 at 08:45 AM
Kwa kiingereza USIJILAZIMISHE kufanikiwa kwa kutumia njia ambazo wengine wametumia, kila mtu ana njia yake ya kipekee. Kuna watu wamefanikiwa kupitia VIPAJI vyao maana vipaji vyao vimewatambulisha na kuwasaidia kufanikiwa katika maisha yao. Wengine wamefanikiwa kupitia ELIMU yao. Mungu amewapa uwezo wa KIPEKEE wa kiakili, na umewasaidia kufanikiwa kupitia kazi za wengine au kazi zao wenyewe. Wapo waliopewa uwezo wa kufanya BIASHARA, na njia hii imewasaidia kuwa watu WAKUBWA katika jamii zao. Jambo la MUHIMU zaidi kujua ni kwanza njia ambayo MUNGU amekupa ili kukufanikisha. Kisha, wekeza ndani yake na ufanye kazi kwa bidii. Acha WIVU kwa wengine. Kila mtu ana nafasi yake ya kufanikiwa. Mwaka huu, ZINGATIA eneo lako, na MUNGU atakufanikisha. > 🧣THE REAL VOICE 🧣...✍🏾
❤️ 😮 2

Comments