🧣THE REAL VOICE🧣
🧣THE REAL VOICE🧣
May 19, 2025 at 05:06 PM
😭HIII INAUMIZA MNO FIKIRIA 😭. Unapotupa kile kisichokuwa kwenye matumizi yako ushawahifikilia yule anaelishukuru jalala linalompa chakula. Umebalikiwa watoto unawaita mbwa umewahifikilia kilio cha mgumba anae jificha na tabasamu la watoto sio wake. Kipindi unawaza kununua gari lakifahari umewahikumfikiria yule anaeteseka kwakukosa miguu. Kipindi unawaza kutafuta pesa umewahikumfikiria yule tajiri ambae pesa zake zinakwisha hospital kupigania uhai wake. Wakati unatumia nyumba kama furaha ulio nayo ivi ulisikia shukurani yaaliekaribishwa sakafuni na kupata usingizi uliowapa mashaka. Kabla ya kutaka usifiwe kwa rangi nzuri uliyopaka kwenye kucha zako achanikukumbushe yule aliekosa mikono kabisa. Asante ya kumvusha kipofu barabara ni bora kuliko dhambi utakazochuma dakika chache baada ya video ya connection uliomba . Dunia inatupa moja ya mawili inayoyamiliki wakati unafurahi jua kuna mtu anahuzunika mda huo . 🙏🏿MSHUKURU MUNGU KATIKA KILA JAMBO NA KILA WAKATI > 🧣THE REAL VOICE 🧣
❤️ 😢 🙏 3

Comments