🧣THE REAL VOICE🧣
🧣THE REAL VOICE🧣
May 20, 2025 at 07:39 AM
UJUMBE WA LEO | NUKUU YA HEKIMA YA MOYO USIKATE TAMAA Maisha si rahisi kila siku, lakini kila siku ni nafasi mpya ya kusonga mbele. Wakati mwingine hutapata faraja kwa watu, lakini utaupata ukimya unaokuambia bado unaweza. Ukipigana leo kwa machozi, kesho utapumua kwa tabasamu. Usitegemee dunia ikuone – mtegemee Mungu akuinue. Usitegemee huruma ya watu – jifunze kupigania ndoto zako kimya kimya. Na kamwe usijione mdogo, kwa sababu ndoto zako ni kubwa kuliko changamoto zako. Leo pigana tena. Simama tena. Omba tena. Amini tena. Maana Mungu haachi anayejitahidi. > 🧣THE REAL VOICE 🧣...✍🏾
❤️ 1

Comments