
🧣THE REAL VOICE🧣
May 27, 2025 at 07:45 AM
*CHUKUWA SIRI HII YA PESA🫰*
*SHERIA 10 ZA MAFANIKIO YA KIFEDHA KWENYE MAISHA YAKO.*
1. Bajeti
2. Nunua mali(vito)
3. Lipa deni
4. Wekeza ndani yako
5. Ongeza njia za mapato
6. Kataa mtindo wa maisha (mf.kununua brands mpya kila zikitoka)
7. Punguza gharama zisizohitajika
8. Wekeza 20% ya mapato yako
9. Kuwa na watu wenye nia ya biashara
10. Usijipendekeze kuwa chawa wa MTU
> 🧣THE REAL VOICE 🧣...✍🏾
❤️
👍
2