🧣THE REAL VOICE🧣
🧣THE REAL VOICE🧣
May 28, 2025 at 03:38 AM
ASANTE SANA KWA MAUMIVU 💔 Ningetamani kuwa nawe katika maisha yote💞, nyakati zote, lakini upepo wa maisha na tamaa zimetuweka 💔 Nilitamani kuiweka dunia yangu kifuani mwako💘, lakini huenda😰 dunia ninayoishi mimi ni tofauti na dunia 😭yako. Dunia ya ufukara 😢ninayoishi mimi dhidi ya dunia yako ya pesa 💸na starehe za gharama. Nilishindwa mimi🥹 na ufukara wangu, nimedondoka🥹, nimekuacha uende.💔 Nimeamini kuwa🥹, ukiwa huna pesa, kitu pekee unachoweza kumiliki kwa mwanamke mrembo ni picha💔😭 zake tu na sio moyo wake. Moyo wa mwanamke ni kama mluzi🫡 wa ng'ombe mnadani, kadri miluzi inavyoongezeka😰 ndivyo anavyozidi kupanda bei. Nasikitika kuyajua haya leo, ni kweli inauma sana😭, nimekubali🙏 Nimeelewa nguvu ya ukimya wako, nimeelewa kwanini umeondoka kwangu🥹, bora umeondoka tu🙏, ni ngumu kusubiri ahadi zangu zisizotimia😰💘💔 Hongera 🙌kwa kumpata mtu wa maisha yako💘, bado natafuta maisha yangu🥹, nimekubali uende kipepeo wangu😭🥹💔 wa zamani, japo kumbukumbu zetu🥹💔😭 zinauma. Kwaheri👋 Mungu akuongoze huko ulikochagua🙏 Nashusha karamu yangu chini✍🏾, ngoja niache kuwaza upuuzi wa mapenzi😭 > nipeni emoji for more love messages 😂✍🏾🧣 `🧣THE REAL VOICE 🧣`
❤️ 1

Comments