🧣THE REAL VOICE🧣
🧣THE REAL VOICE🧣
May 29, 2025 at 11:41 AM
Siku nikishindwa kuvumilia nitamwambia, kwamba yeye ndio ndoto pekee inayojitokeza kwenye kila njozi zangu.. Nitamueleza, sura yake pekee ndio imekaa kwenye Dp ya moyo wangu.. Nitamwambia , nitatengeneza himaya kubwa namuhitaji yeye ili awe malkia wangu.. Nitamueleza mimi ni dhaifu sana, kama nikilala kwenye mikono ya mtu ninayempenda.. Kila kitu kina mwisho lakini sijawahi kuona upendo wangu ukifika mwisho katika kukupenda wewe.. Kiufupi nitamwambia "I LOVE YOU" yenye kumaanisha, tuwe wenza wa maisha.. Yote haya siku nitayaeleza nikimuona, Future Wife.. FUTURE WIFE UKO WAPI?? 😓 NIMEKUANDALIA ZAWADI YAKO KIPENZI🥰😓
❤️ 👍 3

Comments