🧣THE REAL VOICE🧣
🧣THE REAL VOICE🧣
May 31, 2025 at 05:41 AM
*Mimi sito kata tamaa hata iweje, Bado nita endelea kusonga mbele kwasababu haina maana niki kosa leo na kesho nita kosa tena Bali niki kosa leo ina maana kesho nita pata kitu kikubwa zaidi.* *Hata kama na wewe upo kwenye nafasi ambayo ina ridhisha kimaisha endelea kusonga mbele kwa maana hakuna faida Wala umuhimu wa kwendelea kubaki nyuma.* *Usi choke kufukuzia Ndoto zako hata kama uwoni dalili yoyote ya kuzi fikia, Amini Wewe ni Bora na una weza uka badili maisha yako siku moja!!!* > 🧣THE REAL VOICE 🧣

Comments