🧣THE REAL VOICE🧣
June 2, 2025 at 08:03 AM
Kuna kitu cha tofauti kabisa nikikuona... moyo wangu hutulia kwa namna ya ajabu. Sijui kama ni macho yako, tabasamu lako, au ile hali ya amani unayoitoa kimya kimya. Sikudanganyi, natamani tuwe karibu zaidi, si kwa mazoea bali kwa sababu naona kitu cha kipekee kwako. Kama moyo wako uko tayari, naomba nafasi tu kidogo, nikuambie kuwa nakupenda..jpo uko mbali na upeo wa macho yangu
😂
😄
2