
🧣THE REAL VOICE🧣
June 6, 2025 at 12:54 PM
Usiogope kutokueleweka unapopiga hatua maana mbele huwa na kelele za upinzani...
Cha kuogopa ni kueleweka mno wakati umedumaa; maana hapo umekuwa sawa na walioishiwa ndoto..