
🧣THE REAL VOICE🧣
June 14, 2025 at 12:51 AM
Unapoingia kwenye vita yeyote ya moyo wako.. usiisahau silaha inayoitwa upendo..
Moyo wenye upendo hushinda kila kasoro..
Pichani ni wewe na mwanamke aliyekubali kila dhaifu lako.
Wewe na mwanamke aliyegoma kukukatia tamaa.
Wewe na rafiki yako anayekusindikiza kwenye kila baraka..
Wewe na watu waliochaguliwa kwaajili yako ..
Wewe na majibu ya dua zako..
Pichani ni huba lililoshinda mtihani.💓