
🧣THE REAL VOICE🧣
June 14, 2025 at 01:16 AM
Kuna wakina mimi ambao hata mkitukosea tunasema hamna shida niko sawa , ili tu safari iendelee ila fahamu tu kuwa kutu hupunguza uzito wa chuma taratibu taratibu .