🧣THE REAL VOICE🧣
🧣THE REAL VOICE🧣
June 14, 2025 at 04:48 AM
`shukuru kwa Vichache Ulivyonavyo` ✓✓Katika dunia ya mashindano na kutamani makuu, ni rahisi kusahau thamani ya vichache tulivyonavyo. ✓✓Lakini mara nyingi, furaha haiji kwa kuwa na vingi, bali kwa *kuthamini vichache* tulivyonavyo sasa. ✓✓Una pumzi? Una akili timamu? Una nafasi ya kujaribu tena leo? Basi una sababu ya kutabasamu na kusema *“asante.”* > _"Kushukuru kwa kidogo huandaa njia ya kupata kingi."_ ✓✓Thamini vichache ulivyo navyo—ndiyo mwanzo wa baraka kubwa zinazokuja.
❤️ 1

Comments