
Mwigulu Nchemba
June 7, 2025 at 04:17 AM
*Eid Mubarak kwa ndugu zangu Waislamu na Watanzania wote.*
*Katika siku hii tukufu ya Eid al-Adha, tuendelee kukuza moyo wa kujitolea, mshikamano na huruma.*
*Maendeleo ya kweli hujengwa juu ya misingi ya maadili, imani na upendo.*
*Tuiombee Tanzania amani, tuishi kwa mshikamano, na tukumbatie upendo kila siku.*
🙏
👍
❤️
😂
😮
😢
83