Wizara ya Afya Tanzania

Wizara ya Afya Tanzania

231.4K subscribers

Verified Channel
Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania
June 2, 2025 at 06:36 AM
Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA - HC) Dkt. Ntuli Kapologwe akiwasili katika viwanja vya Bunge leo Juni 2, 2025, jijini Dodoma kwa ajili ya kusikiliza wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26 itakayowasilishwa leo na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama.
👍 🙏 2

Comments