
Wizara ya Afya Tanzania
June 2, 2025 at 07:41 AM
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani - Afrika Prof. Mohammed Janabi, Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji wakiwasili katika viwanja vya Bunge leo Juni 2, 2025, jijini Dodoma kwa ajili ya kusikiliza wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26 itakayowasilishwa leo na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama.
❤️
🙏
👍
😏
6