Wizara ya Afya Tanzania

Wizara ya Afya Tanzania

231.4K subscribers

Verified Channel
Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania
June 2, 2025 at 08:10 AM
Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya ya nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA - HC) Dkt. Ntuli Kapologwe na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (Kanda ya Afrika) Prof. Mohammed Janabi wakifuatilia kwa umakini wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26 leo Juni 2, 2025, Bungeni jijini Dodoma inayowasilishwa leo na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama.
👍 ❤️ 😀 🙏 5

Comments