
Wizara ya Afya Tanzania
June 2, 2025 at 08:14 AM
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe, Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe wakifuatilia kwa umakini wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26 leo Juni 2, 2025, Bungeni jijini Dodoma inayowasilishwa leo na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama.
👍
❤️
😂
🙏
8