Wizara ya Afya Tanzania
June 2, 2025 at 12:10 PM
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akifuatilia kwa umakini wasilisho la Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26 leo Juni 2, 2025, Bungeni jijini Dodoma inayowasilishwa na Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama.
❤️
👍
🙏
❤
😁
14