Wizara ya Afya Tanzania

Wizara ya Afya Tanzania

231.4K subscribers

Verified Channel
Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania
June 4, 2025 at 11:03 AM
Wizara ya Afya leo Juni 04, 2025, imepokea ugeni kutoka Shirika la Evidence for Action, wenye nia ya kushirikiana na Wizara kwenye maeneo ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele, maji na usafi wa mazingira pamoja na lishe.
❤️ 👏 2

Comments