Wizara ya Afya Tanzania

Wizara ya Afya Tanzania

231.4K subscribers

Verified Channel
Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania
June 11, 2025 at 05:42 PM
Mganga mkuu wa serikali Dkt Grace magembe amewataka waganga wakuu wa mikoa na wadau wa afya kuongeza juhudi kwenye huduma za chanjo kupitia huduma za mkoba ili kufikia watoto waliopo kwenye maeneo mbalimbali hali itakayopunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Ametoa rai hiyo wakati akifungua mkutano wa mwaka wa tathmini ya huduma za chanjo mkoani Morogoro ambapo inaelezwa kuwa asilimia ya watoto wanaopatiwa huduma za chanjo imefikia asilimia 95 kwa takwimu za wastani kitaifa.
👍 ❤️ 5

Comments