
Christopher Peter - #MtotoNiMalezi
May 25, 2025 at 10:32 AM
Tanzania Malezi Summit | 23–24 Mei 2025
Kauli mbiu: Uwekeza kwa Watoto Wetu!
Kongamano hili limewakutanisha wadau na wataalamu kutoka sekta mbalimbali kujadili, kushirikishana uzoefu, na kuhamasisha uwekezaji katika malezi, makuzi, na maendeleo ya awali ya watoto.
Miaka ya awali ndiyo msingi wa mafanikio ya baadaye!
> “Asilimia 90 ya ukuaji wa ubongo hutokea kabla ya mtoto kufikisha umri wa miaka 8.”
“Uwekezaji katika miaka 0–8 ni uwekezaji wenye tija zaidi kwa kizazi chenye uwezo wa kujifunza, kustawi na kuchangia maendeleo ya taifa.”
Tukiwa pamoja – serikali, mashirika ya kiraia, sekta binafsi, wanazuoni, na jamii – tunaweka msingi thabiti kwa kizazi cha leo na kesho.
Watoto wa leo, Taifa la kesho!
#tanzaniamalezisummit2025 #uwekezakwawatotowetu #miaka0hadi8 #mtotokwanza #mtotonimalezi

👏
1