
Christopher Peter - #MtotoNiMalezi
June 16, 2025 at 06:09 PM
Kila Mtoto Ana Mahitaji Yake!
Huduma jumuishi ni njia ya kujenga fursa sawa kwa wote — bila kumwacha mtoto nyuma.
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, takribani asilimia 49 ya Watanzania ni watoto chini ya miaka 18 — jambo linaloonyesha wazi kuwa mustakabali wa Taifa letu uko mikononi mwao.
#mtotonimalezi #hudumajumuishi #fursasawakwawatoto
🙏
2