
🧣THE REAL VOICE🧣
June 15, 2025 at 11:01 AM
💫 `SAIKOLOGY`
Kwenye maisha ukimuona mtu anaishi
> maisha yake haangaiki na maisha ya
watu, hakai sehemu kuwasema watu
vibaya, hachangii yasiyo muhusu jua
amechagua maisha ya peke yake
ambayo anaamini yanampa amani
> ambayo wewe kwa jicho la kawaida
unaweza kutafsiri tofauti ila siyo
sahihi...
💫💫📚📚
❤️
1