
🧣THE REAL VOICE🧣
June 17, 2025 at 06:19 AM
> Wakati Mapenzi yanapokutesa
Unapogundua kuwa mapenzi yanakuweka katika wakati mgumu ni muda wa wewe kutulia na kutafakari.
*EPUKA*
Epuka kufanya maamuzi kwa pupa pale mabapo mahusiano yako yameingia doa ni vema kuangalia kwa umakini na kutafakari ili ufanye maamuzi sahihi.
*USILAZIMISHE*
Pale mbapo mpenzi wako anaonesha kutojali au shida fulani usilazimishe mahusiano au ndoa ukidhani kuwa tabia yake itabadilika akiwa kwenye ndoa chukulia kuwa atabaki hivyohivyo hata kwenye ndoa ili isikupe stress kama asipobadilika.
mwisho Mapenzi ni safari iko na milima na mabonde chagua gari sahihi ambalo maumivu yake si makubwa sana .
> 🧣 THE REAL VOICE 🧣...✍️