AJIRA FASTA FORUM
June 6, 2025 at 07:13 PM
Nahitaji mtu wa kupika chapati asubuh
Ofisi ipo tegeta- kibo
Nahitaji watu waliopo maeneo ya barabara ya bagamoyo road
Jinsia yoyote itaruhusiwa
Mshahara maelewano
Mawasiliano; 0684088455