AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
June 7, 2025 at 06:57 AM
ATTENTION ATTENTION ATTENTION Tunahitaji walimu maeneo mbalimbali kama ifuatavyo. 1.makulu osterbay Dodoma.mjini (Walimu wa physics, chemistry and maths olevel) 2.Daresalaam kibamba karibu na shule.msingi.luguruni )walimu.wa physics, chemistry and maths) 3.Daresalam.kwa mkua maji chumvi (walimu wa HGL na PCM na biology) 4.kibugumo kigamboni (mwalimu wa mmoja wa mathematics,, science and Geography na wapili ni wa English language na historia ya Tanzania 🇹🇿) Mwisho wa matangazo haya ni jumatatu tarehe9.june 2025. Tuwasiliane kwa whatsapp sms tu :0748650405)

Comments