AJIRA FASTA FORUM
June 7, 2025 at 07:38 PM
Naomba nipostie
Shule ya awali na msingi Baraton iliyopo Rorya mara
Inatangaza nafasi ya mwalimu mmoja Ambaye ataweza kufundisha social studies and civic class 7
Hakikisha chuo umechukuwa masomo ya history na geography
Na uwe na uzoefu wa kufundisha English medium masomo hayo angalau mwaka mmoja uwe karibu mwanza au sehemu jirani
Ahsante call 0676078221
Sms sijibu