AJIRA FASTA FORUM
June 7, 2025 at 07:39 PM
*TANGAZO LA KAZI*
Mkuu wa shule, shule ya Sekondari MTAPA iliyopo Halmashauri ya wilaya ya wanging'ombe anatangaza nafasi za kazi zifuatazo:
1. Mwalimu wa PHYSICS nafasi moja
2. Basic Mathematics nafasi moja
Waombaji wawasilishe:
1. Barua ya maombi
2. Vyeti vyote vya Taaluma
3. CV
Maombi yote yatumwe Kwa Mkuu wa shule Kwa barua pepe: [email protected]
Muda wa kutuma ni kuanzia tarehe 05/06/2025 Hadi Tarehe 15/06/2025
Kwa maulizo Simu namba 0769409660/0678409660