
AJIRA FASTA FORUM
June 8, 2025 at 03:40 PM
ATTENTION ATTENTION ATTENTION Tunahitaji walimu wa home tuition sio shule ni home tuition kama ifuatavyo:
1.mwalimu mmoja wa.science and mathematics, Mwingine Historia ya Tanzania na maadili.
Location: tabata kimanga .
Walimu wanaotakiwq kuomba hapo ni wa mwanachi,tabatabsegerea na kimanga yenyewe.na.sio nje ya hapo
Mwisho wa hili Tangazo ni june10 2025.
2.Tunahitaji walimu wa tuition wanaishi kibamba, au mbezi Louis tu
Mwalimu mmoja wa physics and maths na Mwingine ni wa biology and chemistry.
Mwisho wa Tangazo hili ni june 20 2025
Tuma ujumbe whatsapp usipige simu tafadhali
O748650405