
AJIRA FASTA FORUM
June 11, 2025 at 04:29 AM
*TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.*
Uongozi wa shule ya Msingi MWENDO iliyopo KIBAMBA KWA MANGI -UBUNGO, DAR ES SALAAM unatangaza nafasi ya kazi kwa Masomo yafuatayo;
+ MATHEMATICS & SCIENCE
+ ENGLISH & KISWAHILI
+ SOCIAL STUDIES & CIVICS
Sifa za mwombaji.
1. Awe amemaliza chuo kinachotambulika na serikali.
2. Awe na uzoefu wa kufundisha hasa madarasa ya mtihani (yaani 4&7)
3. Awe muadilifu
4. Awe mchapakazi na nadhifu.
Kwa yeyote mwenye sifa!
Tuma CV kwenda WhatsApp namba: 0620303958
*Usaili utafanyika siku ya JUMAMOSI ya tarehe 14/06/2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi shuleni MWENDO _kimbamba kwa mangi. *