AJIRA FASTA FORUM
June 11, 2025 at 12:22 PM
Habari! Shule ya awali na msingi Dorcus ina uhitaji wa mwl. wa Mathematics na Science mwenye uzoefu wa kufundisha masomo hayo kwa madarasa ya mtihani yani 4 na 7. Mawasiliano ni +255763397164. Wahi mapema.