
AJIRA FASTA FORUM
June 12, 2025 at 05:46 PM
Uongozi wa shule ya Shalom Academy iliyopo katika kijiji cha nyakagwe mkoa wa Geita unatafuta mwalimu wa watoto wadogo (Pre Primary). Mwalimu awe na certificate au diploma na awe na uwezo wa kutumia lugha ya kingereza. kwa mawasiliano zaidi piga., 0786096542