
AJIRA FASTA FORUM
June 13, 2025 at 07:23 PM
*TANGAZO TANGAZO*
Shule ya sekondari Mkono iliyopo Mkoa wa Mara halmashauri ya Butiama, inatangaza nafasi mbili za walimu kama ifuatavyo:-
1. Mwalimu wa HISTORY na KISWAHILI.
2. Mwalimu wa KIINGEREZA NA GEOGRAPHY
Shule ni ya serikali,maombi yote yatumwe kwenye email [email protected] au kupitia wasatpp namba 0767687734.
SIFA ZA MUOMBAJI
1. Awe amesomea ualimu kwenye masomo tajwa hapo juu.
2. Awe na shahada ya ualimu