AJIRA FASTA FORUM
AJIRA FASTA FORUM
June 14, 2025 at 12:11 PM
*TANGAZO TANGAZO* Shule ya sekondari Mkono iliyopo Mkoa wa Mara halmashauri ya Butiama, inatangaza nafasi mbili za walimu kama ifuatavyo:- 1. Mwalimu wa HISTORY na KISWAHILI. 2. Mwalimu wa KIINGEREZA NA GEOGRAPHY Shule ni ya serikali,maombi yote yatumwe kwenye email [email protected] au kupitia wasatpp namba 0767687734. SIFA ZA MUOMBAJI 1. Awe amesomea ualimu kwenye masomo tajwa hapo juu. 2. Awe na shahada ya ualimu

Comments