
AJIRA FASTA FORUM
June 14, 2025 at 08:09 PM
ATTENTION ATTENTION ATTENTION Tunahitaji Mwalimu wa home.tuition mwenye uwezo wa kufundisha home tuition services masomo ya grade3(Science ,math,Geography &Historia)
Mwalimu anatakiwa awe mwenyeji wa cheka,au kimbiji (kigamboni)
Mwisho wa hili Tangazo ni kesho jumapili tarehe15j june 2025.
Mawasiliano whatsapp sms tu.
0659169709/0748650405