
AJIRA FASTA FORUM
June 14, 2025 at 08:11 PM
Katika pilikapilika za maisha ya kila siku, tusimsahau Mwenyezi Mungu.
Ujana usitufanye tuone kwamba kumuomba Mungu ni ushamba hapana, ni hekima na ni wajibu.
Tuwe watu wa sala, tuendelee kufanya kazi kwa bidii, na tuwe na nidhamu katika maisha. Mungu hawezi kutuacha nyuma.
Kumbuka, bado unaishi si kwa ujanja wako, bali kwa sababu ya neema Yake.
Huu ni ukumbusho wangu wa leo. Ubarikiwe.
