
Side Makini Blog
June 13, 2025 at 11:29 AM
Serikali ya Tanzania yamwaga fedha kwa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba!
💸 Jumla ya Sh1 trilioni zimetengwa kwa maandalizi na uendeshaji wa uchaguzi huo.
📊 Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa kati ya Julai 2024 hadi Mei 2025, tayari Sh741.5 bilioni zimetumika.
🧾 NEC imetengewa Sh378.2 bilioni kwa mwaka wa fedha 2025/26, huku Sh316.2 bilioni zikienda moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Je, unadhani fedha hizi zinatosha au ni nyingi kupita kiasi?
💬 Tupe maoni yako 👇
#sidemakiniblog
