Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 13, 2025 at 11:35 AM
Serikali imetangaza kutumia takribani Sh1 trilioni kwa maandalizi na uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu 2025. Lakini Blogger na mchanganuzi maarufu, Side Makini Entertainer (@MakiniZaidi), ameibuka na mtazamo wake: "Mi naona mama angepewa tu mitano, kuliko kuweka bajeti kubwa kiasi hicho... pesa ingeenda kwenye miradi mbalimbali ya wananchi. Sioni sababu ya kuweka pesa nyingi kwa ajili ya uchaguzi unaojulikana mshindi ni nani." Taarifa za bajeti kutoka kwa Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, zinaonesha kuwa: – Sh741.5 bilioni zimetumika kati ya Julai 2024 hadi Mei 2025 – NEC imetengewa Sh378.2 bilioni kwa 2025/26 – Serikali imelipa madeni ya Sh11.16 trilioni na mishahara ya Sh10.27 trilioni 🗣️ Side Makini anataka majibu. Je, wananchi wanahusika au wanatazamwa tu? #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Serikali imetangaza kutumia takribani Sh1 trilioni kwa maandalizi na u...

Comments