
Side Makini Blog
June 14, 2025 at 02:42 PM
Baada ya tamasha lake kubwa lilofanyika Juni 13, 2025, Diamond Platnumz sasa anateka mashabiki moja kwa moja kupitia Meet & Greet ya kifahari jijini London!
🎟️ Kukutana, kupiga picha & kusalimiana naye? Lazima ulipe £55 (Tsh 165,000) – na hii ni bila tiketi ya show!
📅 Meet & Greet: June 14 – 17
🕒 Tiketi zinapatikana hadi June 16, saa 2:00 asubuhi
🔥 Hakika Diamond si wa kupatikana tena bila malipo – huu ni uthibitisho wa hadhi yake mpya kimataifa!
#sidemakiniblog
