Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 16, 2025 at 11:53 AM
Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameieleza Mahakama kuwa jalada la kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, #tundulissu, limewasilishwa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu (DPP) kwa mapitio. Upande wa utetezi umeomba uchunguzi ukamilishwe kwa haraka, huku Mahakama ya Kisutu ikitoa maelekezo kwa Jamhuri kufanikisha hilo. Kwa sasa, Kisutu haina mamlaka ya kisheria kusikiliza kesi hiyo – hivyo shauri limeahirishwa hadi Julai 1, 2025 kwa hatua zaidi. 🔁 Maoni yako kuhusu mchakato huu wa kisheria? #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameieleza Mahakama kuwa jalad...

Comments