Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 17, 2025 at 08:05 AM
Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa utalazimika kupunguza kwa kiwango kikubwa misaada ya kibinadamu duniani kote kufuatia kukatwa kwa ufadhili mkubwa. 🔻 Bajeti ya misaada ya kiutu ya 2025 sasa imepunguzwa kutoka $44B hadi $29B ❌ UNHCR kufuta ajira 3,500+ na kupunguza 30% ya gharama za wafanyakazi 🤒 Athari kubwa zatarajiwa kwenye: Misaada ya dharura Chanjo za dharura Usambazaji wa dawa za HIV 🇺🇸 Marekani, iliyokuwa mfadhili mkuu, imepunguza misaada ya kigeni tangu kurejea kwa Rais Donald Trump madarakani. Maoni yako ni yapi kuhusu hatua hii ya UN? 💬 Tuambie, 🔁 Share, ❤️ Like #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Umoja wa Mataifa (UN) umetangaza kuwa utalazimika kupunguza kwa kiwang...

Comments