
Side Makini Blog
June 18, 2025 at 12:30 PM
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, @rayvanny, amemimina sifa kwa wimbo mpya wa @mbosso_ uitwao "PAWA", uliopo kwenye #ep yake mpya #rn3!
🎵 "Pawa" ndio track inayongoza kwa streams kwenye majukwaa kama YouTube, Boomplay na Apple Music – na sasa inazidi kutikisa anga la muziki!
💬 Rayvanny ameonesha kukoshwa na ubora wa kazi hiyo, na mashabiki wamekubaliana naye kuwa hii ni ngoma ya mwaka!
👇 Je, tayari umeisikiliza? Tupa maoni yako hapa chini!
#sidemakiniblog
